Monday, July 1, 2019
Wadau Hivi Hili Kweli Linawezekana Ama Nimeingia Chaka Kwa Binti Huyu Mrembo?
Leo nimekutana na kali ya kufungua mwaka. Kwa muda mrefu tu tumekuwa tukiwasiliana na kuchat kiasi cha kuzoeana na msichana fulani hivi lakini hatukuwahi kuonana. Sasa tukapanga tuonane siku ya leo. Nikamshtua mtrotro mapema leo, nikamwambia aje pande za huku kwetu. Mida ya flani jioni nikawasili maeneo ya kituoni hapa, nikamkuta ananisubiri. Kumuona mtrotro mashallah.. Kiukweli mimi sijajaliwa sura yenye mvuto na kimuonekano pia ni wa kawaida tu. Nikaenda nae maeneo tukapiga story 2.. 3..
Then nikamuingiza majaribuni, nikamuomba tupige mambo kidogo. Cha kushangaza akakubali wakati ndo kwanza tumeonana leo. Nikajilia vyangu kiulainiii, nikamsindikiza. Nikarudi home na viulizo..!! Huyu binti yuko sawa kweli au ndo wale wa buguruni..!!? Au ni kawaida tu, kwamba inawezekana sex at first sight.
Frank
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Na Mbuke Shilagi Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mradi wa umeme wa maji ya maporomoko wa Rusumo...
-
Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo anakualika kusikiliza wimbo wake mpya 2021 un...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
