Monday, July 1, 2019

VIDEO: Kaburi la maajabu lenye mnara ''watu wanaomba na kuafanikiwa''


Moja ya vivutio vilivyopo eneo la Bagamoyo ni pamoja na kaburi lenye mnara na lile la Mwanamwali  Sharfati ambaye ni binti aliyezaliwa na kalama (kipaji) kutoka kwa mwenyezimungu cha kutafsiri ndoto na kuwasaidia watu wenye shida mbalimbali ambapo mpaka sasa watu wanafika na kuomba.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...