Wednesday, July 3, 2019
Mitandao ya Whatsapp, INSTAGRAM na Facebook Yakubwa na Tatizo...Balaa Duniani
Mitandao ya Kijamii ya Facebook,Instagram na Whatsapp imekumbwa na tatizo jioni hii Jumatano Julai 3,2019 ambapo watumiaji wake kutoka maeneo mbalimbali duniani wanashindwa kupakia au/na kupakua picha,video na jumbe za sauti.
Bado wamiliki wa mitandao husika hawajatoa taarifa kuhusu tatizo hilo.
*****
Some Facebook, Instagram and WhatsApp users cannot upload photos, videos and files.
Facebook, which owns all three apps, said it was aware of the issue and was "working to get things back to normal as quickly as possible".
The company's main social network, its two messaging apps and image-sharing site Instagram have billions of users.
Many people took to rival platform Twitter to highlight the problem, with #instagramdown trending on the site.
Me turning my wifi on and off 25 times in a row and suddenly opens twitter and realized... ohh! stop blaming your wifi Everytime😂🤣🤣🤣 #instagramdown #WhatsAppDown #facebookdown
In March, Facebook and Instagram suffered their longest period of disruption ever. Problems also struck both apps as well as WhatsApp in April.
Facebook has more than 2.3 billion monthly active users and Instagram has one billion.
The Facebook Messenger app, which is often installed separately, is also affected.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...