Wednesday, July 3, 2019

MITANDAO YA WHATSAPP NA FACEBOOK YAKUMBWA NA TATIZO JIONI HII


Mitandao ya Kijamii ya Facebook na Whatsaap imekumbwa na tatizo jioni hii Jumatano Julai 3,2019 ambapo watumiaji wake kutoka maeneo mbalimbali duniani wanashindwa kupakia au/na kupakua picha,video na jumbe za sauti.
Bado wamiliki wa mitandao husika hawajatoa taarifa kuhusu tatizo hilo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...