Mkuu wa mkoa wa Tabora, Agrey Mwanri akiwa katika kikao cha Sekretarieti ya maadili ya Viongozi wa Umma inayo ongozwa na Jaji msaataafu Harold Nsekela kilicho fanyika mkoani Tabora amewataka watumishi kila mmoja kuwajibika kikamilifu kulingana na sekta yake.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
