Alhamisi hii Simba ilitangaza kumsajili kiungo kutoka timu ya taifa ya Sudan na klabu ya Al Hilal, Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman. Mfahamu mchezaji huyo tangu alipoanza kucheza soka la kulipwa mwaka 2010.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
