Friday, June 21, 2019

Matokeo ya mechi ya Simba v Gwambina FC

Mchezo wa uzinduzi wa uwanja wa Gwambina uliopo Misungwi mkoani Mwanza, kati ya Gwambina FC dhidi ya Simba SC, ambapo mchezo umemalizika kwa matokeo ya 1-1 katika muda wa dakika 90.

FT: Gwambina FC 1-1 Simba SC (P: 2-4).


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...