Baada ya rappa P Diddy kuanzisha mahusiano mapya na mwanadada Gina Huyn miezi kadhaa iliyopita na baadae kuripotiwa kuwa wawili hao wameachana sasa kupitia mahojiano ya kipindi cha "Unwine with Tasha K" Gina amefunga vitu kibao kumuhusu Diddy.
Gina Huyn amefunguka na kuweka wazi kuwa Diddy alikuwa akimnyanyasa kwa kumpiga na ilifikiwa hatua alipokuwa mjamzito alilazimishwa kufanya utoaji wa mimba na kulipwa kiasi cha dola za Kimarekani 50,000 sawa na zaidi ya shilingi Mil.100 za Kitanzania, Gina alienda mbali na kusema amekuwa na Diddy kwenye mahusiano yenye manyanyaso kwa miaka mitano tokea mwaka 2014-2019.
"Mara ya kwanza nilipata ujauzito na Diddy ilikua ni Oktoba 2014 nilimuambia kuhusu ujauzito na aliniambia kuwa nitoe na alinipa kiasi cha zaidi ya shilingi mil.100 ili niishughulikie mimba ile lakini nilimpenda kweli na sikutaka kumuonyesha kuwa sikuwepo pale kwa ajili ya pesa zake na nilitaka awe mtu mzuri kwangu"
"Mara ya kwanza alikua mtu mzuri sana kwangu lakini ndani ya miaka mitatu alibadilika alianza kuwa na vurugu kihisia, kifikra mara nyingi alikua akinilinganisha na Cassie na kusema kuwa mimi sio mtu mzuri kama Cassie" >>> alisema Gina
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Na Mbuke Shilagi Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mradi wa umeme wa maji ya maporomoko wa Rusumo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo anakualika kusikiliza wimbo wake mpya 2021 un...
-
Ninakualika kutazama Video Mpya kabisa mwaka 2021 kutoka kwa Msanii Yobat amemshirikisha Bhudagala Ng'wana Malonja na Shija Kadoke wim...
