Tuesday, June 18, 2019

Spika Ndugai aongoza kikao cha Kamati ya Bunge ya Uongozi

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Bunge ya Uongozi kilichokutana kupitia shughuli zilizobaki za Mkutano wa Kumi na Tano wa Bunge unaoendelea Jijini Dodoma.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...