Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Sikonge mkoani Tabora ameaagizwa kuwapa barua za kujieleza ni kwanini wasifukuzwe kazi Maafisa Watendaji wa Kata 17 kati ya Kata 20 za wilaya hiyo ambazo Watendaji wake wameshindwa kusambaza vitambulisho kwa Wajasilimali katika Kata zao na vijiji vyao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE