Saturday, April 20, 2019

VIDEO: Lugola - Ni marufuku kiongozi wa chama chochote kufanya mikutano ya hadhara


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amepiga marufuku viongozi wenye uchu wa madaraka kufanya mikutano ya kisiasa mpaka pale muda utakapofika  atakayejaribu hajamsikia ajifanye amesahau akione kitakachompata

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...