Kutongoza kuna kanuni zake kama ilivyo kanuni za kufanya hesabu, maana usipokuwa makini kujua kanuni za kufanya hesabu ni lazima tu hesabu hiyo utakosa. Hivyo hivyo hata katika mapenzi kama hujui namna ya sahihi ya kumtongoza mwanamke ni lazima mwanamke huyo utamkosa tu.
Yafutayo ndiyo makosa yanayofanya na wanaume wengi wakati wa kutongoza.
Kuwa na papara.
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu. mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake. Mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata kwa sababu atakufikiria sana juu ya uharaka wako.
Kuonyesha maisha yasiyo ya uhalisia.
wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu. Unaaproach jaribu kuwa real. huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki wakati si kweli.
Kutokusoma Mood ya mwanamke.
unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,
Kumponda mwanamke ambaye ulishawahi kuwa naye.
Mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.
Kulalamika
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.
Hivyo ili uweze kumpata mwanamke unayempenda kila wakati hakikisha unayaepuka mambo haya kama kweli unataka unataka mwanamke akukubali mapema.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...