Sunday, March 24, 2019

TFF wazikana jezi za Taifa Stars zenye alama ya msalaba


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kuwa halihusiki na jezi za Taifa Stars zenye alama ya msalaba kifuani ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...