Saturday, March 23, 2019

Kutoka mchezaji hadi kuwa na ndoto za U-bilionea, huyu ndiyo David Beckham na Inter Miami MLS yake

Bila shaka kwenye ramani ya mchezo wa soka jina la David Bekham si geni maskioni mwa watu, kwani ameichezea timu yake ya taifa ya Uingereza kwa mafanikio makubwa huku wengi walivutiwa zaidi na kipaji chake alipokuwa kwenye klabu ya Mashetani wekundu Manchester United. Tuachane na hilo la umahiri wake wa namna alivyoweza kuunyanyasa mpira katika …

The post Kutoka mchezaji hadi kuwa na ndoto za U-bilionea, huyu ndiyo David Beckham na Inter Miami MLS yake appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...