Friday, March 15, 2019

Caf yakanusha taarifa za kunyimwa viza Rais Ahmad Ahmad kuingia Marekani, ili kushiriki mkutano wa FIFA

Shirikisho la soka barani Afrika (Caf), kupitia tovuti yake limesema kuwa limeshangazwa na habari iliyoenezwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii kuwa Rais Ahmad Ahmad amenyimwa viza ya kuingia nchini Marekani kushiriki mkutano wa Shirikisho la soka duniani FIFA unaonza kufanyika Machi 15 mwaka 2019 huko Miami. Caf imesema kuwa imeshangazwa na …

The post Caf yakanusha taarifa za kunyimwa viza Rais Ahmad Ahmad kuingia Marekani, ili kushiriki mkutano wa FIFA appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...