Friday, March 22, 2019

Akaunti rasmi za Facebook na Twitter za rais Uhuru Kenyatta zafutwa, yadaiwa ujumbe tata uliyoandikwa asubuhi ye leo ndiyo chanzo

Akaunti zote rasmi za mitandao ya kijamiii ya rais wa Kenya Uhuru Kenyata zimefungwa baada ya kutumiwa na watu ambao ”hawajaidhinishwa”, amesema mkuu wa wafanyakazi wake kwenye ujumbe wa Twitter. Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Nzioka Waita hakutoa taarifa kuhusu namna ya uingiliwaji wa mitandao hiyo ulivyotokea, lakini akaongeza kuwa itarejeshwa tena …

The post Akaunti rasmi za Facebook na Twitter za rais Uhuru Kenyatta zafutwa, yadaiwa ujumbe tata uliyoandikwa asubuhi ye leo ndiyo chanzo appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...