Tuesday, February 19, 2019

VIDEO: Flora Kaongea Baada ya Kudaiwa Kumtorosha Pascal wa BSS Hospitali



Baada ya RC Makonda kutoa kauli ya kuhitaji kumsaidia Pascal Cassian aliyekuwa mshindi wa BSS mwaka 2009 baada ya kupata ajali ya gari iliyopelekea kupasuka kwa kibofu na kushindwa kuendelea na majukumu yake na kujiuguza kwa muda mrefu, kuna taarifa ziliendelea mtandaoni zikidai kuwa mwimbaji wa nyimbo za injili Madam Flora na mume wake wamemtorosha mgonjwa huo.

 Madam Flora kafunguka kuhusu hilo pamoja na mchango wake kwa Pascal Cassian toka apate ajali.

 BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA ALICHOZUNGUMZA FLORA.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...