Tuesday, February 19, 2019

Pascal wa BSS aanza kufanyiwa vipimo, matumaini mapya yapatikana! (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameanza kutimiza ahadi ya matibabu aliyoitoa kwa Mshindi wa BSS mwaka 2009, Pascal Cassian baada ya muimbaji huyo wa injili kuomba msaada wa matibabu kwa Watanzania kwa muda mrefu. Muimbaji huyo ambaye anasumbuliwa na jereha la kibofu cha mkojo ililotokana na ajali ambaya ya gari aliyoipata …

The post Pascal wa BSS aanza kufanyiwa vipimo, matumaini mapya yapatikana! (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...