Thursday, February 21, 2019

Utajiri wa Bilioni 450 apewa paka


Paka aliyekuwa akimilikiwa na mkongwe wa mitindo Duniani, marehemu Karl Lagerfeld ndie atakayerithi utajiri wote wa mkongwe huyo

Paka huyo anayefahamika kwa jina la Choupette atamiliki utajiri ambao unatajwa kufikia zaidi ya Tsh. Bilioni 456.
Inaeelezwa paka huyo alikuwa akilelewa kifahari na mmiliki wake tokea mwaka 2011. Karl Lagerfeld alifariki Februari 19 mwaka huu Jijini Paris, Ufaransa akiwa na umri wa miaka 85.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...