Thursday, February 14, 2019
Mwaka Sasa Umetimia Toka Kuachana kwa Diamond na Zari
Ikiwa leo ni siku ya Wapendano (Valentine's Day), tarehe kama ya leo mwaka jana ndipo
Zari The Bosslady alitangaza kuachana na Diamond.
Zari alitangaza kuvunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platnumz akiwa nchini Kenya kwa
ajili ya event yake 'The Colour Purple' itakayofanyika weekend hii Uhuru Gardens.
Zari alisema ameachana na Diamond kutokana alikuwa akimvunjia utu wake kwenye mitandao
ya kijamii kwa kujihusisha kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake mbalimbali.
Baada ya kuachana kwao, Zari hajaonekana tena kwenye mahusiano na mtu mwingine, wakati
Diamond akiwa na mrembo kutoka nchini Kenya, Tanasha ambaye pia mtangazaji wa redio.
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Na Mbuke Shilagi Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mradi wa umeme wa maji ya maporomoko wa Rusumo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo anakualika kusikiliza wimbo wake mpya 2021 un...
-
Ninakualika kutazama Video Mpya kabisa mwaka 2021 kutoka kwa Msanii Yobat amemshirikisha Bhudagala Ng'wana Malonja na Shija Kadoke wim...
