Friday, February 15, 2019

Mh Kikwete Ashtushwa na Habari za Kifo cha Godzilla

Moja ya viongozi waliowahi kuwa karibu sana na wasanii kipindi cha uongozi wake mh jakaya kikwete , amesema kuwa amepokea kwa mshtuko sana taarifa ya kifo cha mwanamuziki Godzilla kwa sababu alikuwa moja ya vijana wadogo  mwenye ndoto kubwa maishani. mh kikwete aliongea maneno hayo huku akiambatanisha na picha yake aliyowahi kuipiga akiwa na msanii huyo miaka ya nyuma.

The post Mh Kikwete Ashtushwa na Habari za Kifo cha Godzilla appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...