Tuesday, February 19, 2019

Jinsia ya mwanadada Semanya yazidi kuandamwa, atakiwa kutolewa kwenye mashindano ya wanawake, wadai kwanini ameoa, mwanasheria ajibu “Kama Sayansi imekosewa basi atolewe”

Bingwa mara mbili wa mashindano ya riadha katika umbali wa mita 800, Caster Semanya kutoka nchini Afrika ya kusini amezindi kuandamwa kutokana na jinsi yake. Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 28 tayari shirika la riadha duniani 1AAF lilimtaka kujua jinsi yake kwa mara nyingine.huku kinachopelekea mwanariadha huyo kuchunguzwa ikiwa ni yeye kuoa mwanamke na …

The post Jinsia ya mwanadada Semanya yazidi kuandamwa, atakiwa kutolewa kwenye mashindano ya wanawake, wadai kwanini ameoa, mwanasheria ajibu “Kama Sayansi imekosewa basi atolewe” appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...