Tuesday, February 19, 2019

HUKUMU: Malkia wa meno ya Tembo atupwa jela miaka 17, mali zake zote zataifishwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kifungo cha miaka 17 jela raia wa China, Yang Feng Glan maarufu kwa jina la ‘Malikia wa meno ya Tembo’, baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na  baishara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya TSh Bilioni 13.9 . Yang Feng Glan Hukumu hiyo imetolewa leo, Februari …

The post HUKUMU: Malkia wa meno ya Tembo atupwa jela miaka 17, mali zake zote zataifishwa appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...