Monday, February 11, 2019

Guardiola aeleza alivyompania Maurizio Sarri “walitufunga kwao na wakati yupo Napoli pia, nilijua alichotaka kutufanyia watu hawajui tu”

Kocha wa klabu ya Manchester City Mhispania Pep Guardiola amefunguka baada ya mchezo wake wa jana dhidi ya Chelsea ambapo Manchester City walifanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa goli 6 kwa 0. Mhispania huyo ameongea baada ya mchezo huo na kueleza ni jinsi gani alivyojiandaa kumuangamiza mwenzake wa Chelsea Maurizio Sarri. Guardiola Alipoulizwa ikiwa hakuwa …

The post Guardiola aeleza alivyompania Maurizio Sarri “walitufunga kwao na wakati yupo Napoli pia, nilijua alichotaka kutufanyia watu hawajui tu” appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...