Leo Novemba 19 Serikali Wilayani Kinondoni jijini Dar es salaam imewataka wavuvi kuhakikisha wanashirikiana vema kutoa taarifa za watu wanaojihusisha na uvuvi haramu ili jamii ya Tanzania ipate samaki walio bora.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
