Monday, November 19, 2018

NASAFISHA TAA ZA MAGARI NA KUZIRUDISHA KATIKA UPYA WAKE


Je Taa za Gari lako zina ukunguZimepauka?Kupelekea hupati Mwanga wa Kutosha wakati wa Usiku?Na Ushafikiria Kununua Taa Nyingine? Kama Ni NDIO Basi sasa huna Haja ya Kuwaza Kununua TAA NYINGINE 


Nasafisha na kuzirudisha kwenye Hali yake ya upya lakini Ukipata muonekano amaizing na Kupata mwanga wa Kutosha Wakati wa Usiku na gari lako kuongezeka thamani



Kwa Gharama nafuu kabisa ya Shilingi Elfu 35 tu Nakufuata Popote Ulipo kwa Dar Es Salaam Na Taa zako zinarudi kwenye Upya Kabisa



Nipigie Simu 0712 390200 sasa Nije Kukuhudumia

Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...