Msanii wa Lebo ya WCB, Rajab Abdul Kahali maarufu kwa jina la Harmonize ama Konde Boy amefunguka juu ya baadhi ya mastaa wam Marekani na Afrika ambayo amewashirikisha kwenye Albamu yake mpya itakayoingia sokoni mwakani 2019, miongoni mwao akiwemo Clifford Joseph Harris Jr 'T.I' kutoka Atlanta nchini Marekani.
Harmonize amefunguka hayo alipokuwa akifanya mahojiano katika Kituo cha Radio cha Capital Fm nchini Kenya na kusema kwamba; "Albamu yangu itakwenda kubadilisha industry nzima ya muziki wa Afrika Mashariki kwa sababu nimezoea kufanya kazi na wasanii tofauti tofauti.
"Albamu yangu itakuwa imemshirikisha msanii mkubwa kama T.I, kutoka Marekani, Burna Boy, Sauti Solo, Eddy Kenzo najitahidi kufanya na wasanii kutoka pande tofauti".
Harmonize alifunguka ilikuwaje mpaka akakutana na T.I na kufanya mchongo wa kolabo; "Nlikuwa Atlanta na Meneja wa T.I, ni kama kaka yangu, na tulikutana pale, tuliongea na mwisho tulikubaliana kolabo na T.I, na sio kwamba ni Meneja wa T.I pekee, bali hata Travis Scott na Ludacriss, la msingi tegemeeni mengi".
Albamu ya Harmonize inategemewa kuingia sokoni Mwaka 2019, licha ya tahere, jina la Albamu na nyimbo zitakazopatikana kwenye Albamu hiyo zikiwa bado hazijaanikwa.
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Na Mbuke Shilagi Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mradi wa umeme wa maji ya maporomoko wa Rusumo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo anakualika kusikiliza wimbo wake mpya 2021 un...
-
Ninakualika kutazama Video Mpya kabisa mwaka 2021 kutoka kwa Msanii Yobat amemshirikisha Bhudagala Ng'wana Malonja na Shija Kadoke wim...
