Tuesday, November 20, 2018

VIDEO: Vyama vya siasa 7 vyaungana, mapya yaibuka Mrema aongoza sakata la muswada


Umoja wa vyama vya siasa wasio na wawakilishi bungeni wamewataka wanasiasa, wananchi na wadau mbalimbali kutopotosha juu ya muswada wa marekebisho ya sheria namba tano wa vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...