Thursday, November 8, 2018

Jukwaa la shindano la Miss Bumbum 2018 lageuka uwanja wa ndondi Brazil, mshindi ashambuliwa na wenzake (+video)

Jukwaa la Shindano la Miss Bumbum 2018 nchini Brazil, limegeuka ukumbi wa masumbwi baada ya majaji kumtangaza, Mrembo Ellen Santana kuwa mshindi wa shindano hilo. Bi. Ellen alivuliwa taji hilo  na mshiriki mwenzake, Aline Uva ambaye alikaririwa akisema kuwa majaji wamempendelea kwani makalio yake ni bandia hakustahili. Shindano la Miss Bum Bum ni moja ya mashindano …

The post Jukwaa la shindano la Miss Bumbum 2018 lageuka uwanja wa ndondi Brazil, mshindi ashambuliwa na wenzake (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...