Thursday, November 8, 2018

Baada ya kusajiliwa Chirwa afunguka ‘Azam wasipo nipa changu navunja mkataba, timu ya Msuva inanitaka’

Klabu ya Azam FC imekubali kumsajili Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia na mchezaji wa zamani wa Yanga, Obrey Cholla Chirwa kwa mkataba wa mwaka mmoja. Wakati akitambulishwa mbele ya waandishi wa habari, Chirwa amesema kuwa wachezaji wengi wa Tanzania hawana msimamo huku akimwagia sifa Samatta kuwa amefanikiwa kutokana na msimamo wake hivyo hatoweza kuvumilia endapo …

The post Baada ya kusajiliwa Chirwa afunguka ‘Azam wasipo nipa changu navunja mkataba, timu ya Msuva inanitaka’ appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...