Kutokana na kushamili kwa matukio ya kusambaa kwa picha na video za ngono zisizo na maadili nchini kupitia kwenye mitandao ya kijamiaa, leo Oktoba 28 Mwanaharakati huru Cyprian Musiba ameibuka na kutaja oradha ya wasanii ambao wanasambaza picha hizo na kuhoji kwanini Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) hawachukui hatua huku akimuomba Waziri mwenye dhamana kulichukulia hatua Baraza hilo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE