Monday, October 22, 2018

Injinia mkuu wa kivuko cha Mv Nyerere Alphonse Augustino asimulia jinsi alivyoandaliwa mazishi

Jina la Injinia Augustine Cherehani lilianza kuvuma katika vyombo vya habari vya ndani na nje ya Tanzania siku tatu baada ya kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake katika ziwa Victoria kati ya kisiwa cha Ukerewe na Ukara. Injinia Augustine Cherehani katika kile kilichowaacha wengi vinywa wazi aliokolewa wakati tumaini la kupata …

The post Injinia mkuu wa kivuko cha Mv Nyerere Alphonse Augustino asimulia jinsi alivyoandaliwa mazishi appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...