Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho ameanzisha uchunguzi ndani ya timu hiyo kufahamu aliyetoboa siri ya orodha ya kikosi chake ‘line-up’ alichokipanga kwaajili ya kuikabili Chelsea mchezo uliyomalizika kwa sare ya mabao 2 – 2 Jumamosi iliyopita. Mourinho alitoka kwenye hoteli waliyofikia na kwenda kutafuta ukweli juu ya aliyetoboa siri hiyo na kuposti kwenye mitandao …
The post Jose Morinho amtafuta mchawi wake ndani ya United, adai haiwezekani siri yake kuvuja mitandaoni appeared first on Bongo5.com.
Source