Bingwa wa UFC, Khabib Nurmagomedov amesema kuwa yupo tayari kupigana na mwanamasumbwi Floyd Mayweather huku akihitaji pambano hilo lifanyike jijini Moscow. Bingwa wa UFC raia wa Urusi, Khabib Nurmagomedov Nurmagomedov raia wa Urusi ni mpiganaji anayetumia ‘martial artist’ anahitaji kupigana na Mayweather ambaye tayari alishampiga Conor McGregor katika pambano lililoingiza mkwanja mrefu. Mpiganaji huyo anayegonga vichwa vya …
The post Aliyempiga McGregor yupo tayari kuzipiga na ‘Money’ Mayweather, pambano kufanyika Moscow appeared first on Bongo5.com.
Source