Tuesday, September 4, 2018

Video: Ukinuna, ukiumia ukweli ni wasanii wanaofanya vizuri TZ wanatoka WCB! – Babu Tale

Mmoja kati ya Wakurugenzi wa WCB, Babu Tale amefunguka kwa kudai kwamba kwa sasa wasanii ambao wanafanya vizuri nchini Tanzania wanatoka katika label yake ya WCB. Akizungumza na Bongo5 mapema leo, Babu Tale alisema suala la mikataba ya wasanii wao lipo vizuri na hawana mpango wa kuipitia kama baadhi ya wadau wanavyoshauri baada ya kutokea …

The post Video: Ukinuna, ukiumia ukweli ni wasanii wanaofanya vizuri TZ wanatoka WCB! – Babu Tale appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...