Monday, September 10, 2018

Breaking: Mahakama Yatupilia Mbali Mapingamizi ya Serikali Kuhusu Ving’amuzi Chaneli za Ndani

Mahakama yatupa mapingamizi ya Serikali ving'amuzi chaneli za ndani

Mapingamizi ya Wakili wa Serikali yaliyokuwa yanapinga Mahakama  kuondolewa amri ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayozitaka baadhi ya  kampuni zilizokuwa zikionyesha chaneli za ndani kuondolewa kwenye ving'amuzi vyao ymetupilia mbali na Mahakama Kuu Kanda ya Iringa.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...