Thursday, August 16, 2018

Zamaradi ajibu tuhuma za kushinikiza Dina Marious kufukuzwa kazi Clouds FM ‘Dina ni mke mwenzangu?’ (+video)

Mkurugenzi wa vipindi Wasafi TV, Zamaradi Mketema amefunguka kwa mara ya kwanza tuhuma anazozushiwa kuwa kipindi anafanya kazi Clouds Media Group alihusika kushinikiza uongozi wa kampuni hiyo kumfanyia figisu figisu hadi kuachishwa kazi aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena, Dina Marious. Zamaradi amekataa katu katu kuwa hakuwahi kuhusika na chochote ila ni watu tu …

The post Zamaradi ajibu tuhuma za kushinikiza Dina Marious kufukuzwa kazi Clouds FM ‘Dina ni mke mwenzangu?’ (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...