Sunday, August 12, 2018

Wizkid aongeza wigo wa Star Boy Cloth Collection, afungua duka la nguo nchini Marekani (+picha)

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameendelea kuongeza wigo wa maduka yake ya nguo duniani kwani jana amefungua duka lingine Jijini New York nchini Marekani. Duka hilo linakuwa la pili baada ya mwezi uliopita kufungua duka la kwanza nchini Uingereza. maduka hayo yanauza nguo za jinsia zote. Wizkid kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii …

The post Wizkid aongeza wigo wa Star Boy Cloth Collection, afungua duka la nguo nchini Marekani (+picha) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...