Chama cha wananchi CUF kupitia kwa Mkurugenzi wake wa habari na mawasiliano, Abdul Kambaya, wamefunguka kuhusu Julius Mtatiro Jumamosi hii kutangaza kujiuzulu na kuhamia CCM huku akikikosoa vikali chama chake cha zamani. Kambaya amedai kuwa Mtatiro ni muongo kutokana na moja ya kauli zake za kuwa amewahi kuandika ilani cha chama hiko katika uchaguzi mkubwa na pia wameongeza kuwa yeye ndio alikuwa kirusi ndani ya chama hiko kwa kusababisha mgogoro mkubwa unaoendelea..na Kwamba kwenda CCM anataka Umakonda na Ujoketi
Sunday, August 12, 2018
CUF wamtupia kombora kali Mtatiro, "Anataka U-makonda na U-jokate"
Chama cha wananchi CUF kupitia kwa Mkurugenzi wake wa habari na mawasiliano, Abdul Kambaya, wamefunguka kuhusu Julius Mtatiro Jumamosi hii kutangaza kujiuzulu na kuhamia CCM huku akikikosoa vikali chama chake cha zamani. Kambaya amedai kuwa Mtatiro ni muongo kutokana na moja ya kauli zake za kuwa amewahi kuandika ilani cha chama hiko katika uchaguzi mkubwa na pia wameongeza kuwa yeye ndio alikuwa kirusi ndani ya chama hiko kwa kusababisha mgogoro mkubwa unaoendelea..na Kwamba kwenda CCM anataka Umakonda na Ujoketi
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akigonga Cheers na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi waliohudhuria uzin...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...