Thursday, August 23, 2018

VIDEO: Wakili wa akina Mbowe asusia kesi, " Hatuogopi kufungwa, haki itendeke"


"Tunaheshimu mahakama lakini inawezekana baadhi ya mahakimu na majaji kutumika kwa kufanya kazi kwa maelekezo, na hii lazima tuzungumze ili Dunia na watanzania waelewe kwamba hatuoni haki ikitendeka kwa kesi yetu inayosikilizwa na hakimu Mashauri na ndio maana hata tulipoomba ajitoe ameendelea kukataa," Freeman Mbowe mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....... USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...