Rais John Magufuli ameonesha jinsi gani Gwiji wa maigizo nchini Amri Athuman Mzee Majuto anastahili heshima baada ya kufika kwenye viwanja vya karimjee na kuungana na watanzania kumuaga mkongwe huyo aliyefariki jana.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE
