Thursday, August 9, 2018

Kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili barani Ulaya, Man United wachinjiwa baharini na Atletico Madrid

Klabu ya Manchester United imechomolewa ofa yake ya kutaka kumnunua beki wa klabu ya Atletico Madrid, Diego Godin yakiwa yamebaki masaa machache kufungwa kwa dirisha la usajili barani Ulaya. Inaripotiwa kuwa United imefanya mazungumzo ya mwisho na mchezaji huyo anayekipiga ligi ya Hispania masaa machache yaliyopita lakini, Godin amekataa ofa hiyo ya kutua Old Trafford. Diego …

The post Kuelekea kufungwa kwa dirisha la usajili barani Ulaya, Man United wachinjiwa baharini na Atletico Madrid appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...