Monday, August 27, 2018

Tanzia- Sugu Afiwa na Mama Yake

Mnunge wa Mbeya Mjini na msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amedaiwa na mama yake mzazi. Mama yake na Sugu alifariki siku ya jumapili Agosti 26, 2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu kwa muda mrefu. Taarifa ya kifo hicho, imethibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano ya umma na huduma kwa wateja katika Hospitali ya Muhimbili, Aminiel Aligaesha. Mwenyezi Mungu Ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amina.

The post Tanzia- Sugu Afiwa na Mama Yake appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...