Tuesday, August 7, 2018

Simu yamliza Waziri Kigwangalla usiku wa manane hospitalini Muhimbili

Kwa mara ya kwanza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa posti ya kwanza mitandaoni tangu anusurike kwenye ajali mbaya ya gari wiki iliyopita. Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa usiku wa kuamkia leo kitu Cha kwanza alichongaa ni kushika simu yake ya mkononi. Jambo ambalo limemfanya aumie sana baada ya …

The post Simu yamliza Waziri Kigwangalla usiku wa manane hospitalini Muhimbili appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...