Mchungaji maarufu nchini masanja mkndamiza amefunguka na kumkingia diamond kifua huku akisema kuwa kwa mtu kuvaa kikuku ni kawaida tu kamawatu wengine wanapoamua kuvaa cheni hizo mikononi au shingoni au sehemu yoyote.
Masanja anasema kuwa watu wamekuwa wanashindwa kutofautisha kati ya vitu hivi viwili kati ya dhambi na swala la maadili, kuna utofauti mkubwa kati ya dhambi na kile wasichokipenda watu kifanyike hivyo kwake kama mchungaji kuvaa kikuku sio dhambi.
"kama mchungaji kuvaa kikuku sio dhambi ,lakini unaambiwa kuwa katika maadili ni dhambi, na je nikawauliza kwani maadili ni nini.kwaio shida ipo katika maadili na hapo ndipo tunasema kuwa watu wanadhani kuwa ni vile vitu wasivyovipenda wao.vitu visivyo na maadili mazuri wanadhani kuwa ni dhambi.kuna tofauti sana juu ya hivyo vitu viwili. narudia tena kuvaa kikuku sio dhambi kabisa."
The post Masanja Amkingia Kifua Diamond platinumz, Asema Kuvaa Kikuku ni Sawa. appeared first on Ghafla!Tanzania.
Source
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akigonga Cheers na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi waliohudhuria uzin...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
