Wednesday, August 22, 2018

Serengeti Boys hii usipime, yaishushia Rwanda kipigo kikali


Serengeti Boys imewaonyesha Watanzania inaweza baada ya kuitwanga Rwanda kwa mabao 4-0 huku mshambuliaji wake Kelvin John akipiga hat trick. 

John alipiga mabao matatu huku akitoa pasi ya bao moja lililofungwa na Agiri Ngoda. 

Mashabiki muda wote kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Saam, walikuwa wakishangilia kwa nguvu wakati Serengeti Boys wakionyesha soka safi la kitabuni. 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...