Wednesday, August 1, 2018

Rwanda yakosa samaki wa kuuza DRC

Uganda na Tanzania zimetwaa soko la samaki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambalo awali lilikuwa linatawaliwa na Rwanda. Sasa Rwanda haina samaki wa kutosha wa kutosheleza soko hilo. DRC ina soko kubwa la samaki huku maeneo ya Kivu Kusini na Kaskazini yakinunua tani 100, 000 kwa mwaka. Taakwimu kutoka kwa halmashauri ya kuuza nje […]
Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...