Friday, August 17, 2018

RIPOTI: China kuipiga Marekani muda wowote, bajeti kubwa kupata kutokea yaongezwa

Kuna uwezekano kuwa jeshi la China linafanya mazoezi ya kushambulia vituo vya Marekani na washirika wake huko Pacific hii ni kwa mujibu wa makao makuu ya ulinzi ya Marekani. Ripoti ya kila mwaka ya Congress inasema kuwa China inaongeza uwezo wake wa kupeleka ndege za kivita kwenye visiwa vyake vya baharini. Ripoti hiyo inazungumzia kuongezeka …

The post RIPOTI: China kuipiga Marekani muda wowote, bajeti kubwa kupata kutokea yaongezwa appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...