Mwanadada Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa msanii mareheme Mzee Majuto alikuwa akiwa bado yye hajatimiza ndoto nae alikuwa akitaka kuikamilisha kabla.
Wema anasema kuwa mwaka mmoja kabla aliwahi kupanga na kuongea na marehemu mzee majuto na wakakubaliana kuwa watafanya kazi, lakini ikatokea ghafla alipoanza kuumwa na kusumbuliwa na maradhi yaliyomtoa Duniani.
Nilipopata taarifa za msiba tu nilijua kuwa wazi ndot yangu imezimika, na kile nilichokuwa nakitaka hakiwezi kufanikiwa kabisa.nilitaka kujipima nione kuwa nikicheza vichekesho na yeye itakuwaje.lakini ndio hivyo tena imeshindikana.
Mzee majuto amefariki wiki iliyopita na kifo chake kimegusa watu wengi nje na ndani ya Tanzania kutokana na ukubwa wa kazi zake alizokuwa akifanya katka tasnia, aligusa maisha ya watu wengi sana hasa kusaidia kuchipua wasanii wachanga.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...