Kocha wa Coastal Union ya Tanga amefunguka kwa mara ya kwanza kueleza kwanini aliamua kumsajili Alikiba ambaye ni muimbaji mahiri ya muziki nchini Tanzania. Akiongea mapema jana baada ya mazoezi, Kocha Juma Mgunda wamedai haikuwa kazi rahisi kupata saini ya mchezaji huyo. “Tume msajili Ali Kiba kwakuwa anajua kucheza mpira na sio kwasababu anajua msanii …
The post Nimemsajili Alikiba kwa kuwa ni fundi wa mpira – Kocha Coastal Union appeared first on Bongo5.com.
Source